VODACOM YAIPIGAJEKI WIKI YA USALAMA BARABARANI SH MIL. 40

Waziri wa Mambo ya ndani, Mathias Chikawe (wa pili kulia), akipokea mfano wa hundi yenye thamani ya sh. mil.  40 kutoka kwa Ofisa Mkuu wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Georgia Mutagahywa ikiwa ni msaada kwa ajili ya Wiki ya Nenda kwa Usalama, katika hafla iliyofanyika Makao Makuu ya wizara hiyo, Dar es Salaam leo. Anayeshuhudia makabidhiano hayo ni Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, Inspekta Jenerali Ernest Mangu (wa pili kushoto) na Kamanda wa Kikosi cha Polisi cha Usalama Barabarani, Mohamed Mpinga.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI