HABARI MPASUKOOO!!!! AJALI, AJALI, AJALI BASI LA SUPER FEO LAPATA AJALI

Mwezi wa balaa ni balaa tu. leo Basi la Super Feo lililokuwa linatokea Songea kwenda Mbeya  limepata ajali  na kusababisha watu wawili kufa na wengine 20  kujeruhiwa. 

Ajali hiyo imetokea leo eneo la Sinangula wakati likimkwepa mwendesha baiskeli.

Habari zaidi tuawaletea punde

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA