KINANA AIPONGEZA NHC KUSAIDIA AJIRA KWA VIJANA NCHINI


 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akikata utepe ikiwa ni ishara ya kukabidhi msaada wa mashine 28  zenye thamani ya sh. mil. 12.6 za kufyatulia tofali kno wa hadhara kwenye Uwanja wa Bwawani, Maili Moja, Kibaha leo.wa vijana wa Mkoa wa Pwani zilizotolewa na Shirika la Nyumba la Taifa. Msaada huo ulikabidhiwa wakati wa mkuta
 Kinana akimshukuru Meneja wa NHC Mkoa wa Pwani, Pauline Mrango baada ya kukabidhi msaada huo
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mwantumu Mahiza 9kushoto0 akiipongeza NHC kupitia kwa Meneja wa NHC Mkowa Pwani kwa msaada huo muhimu wa vijana. PICHA NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.