KINANA AFANYA MAMBO BAGAMOYO

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiteta jambo na Mbunge wa Jimbo la Bagamoyo, Dk. Shukuru Kawambwa wakati wa mapokezi akitokea Kibaha Vijijini katika ziara ya kuimarisha uhai wa chama na kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa kuata Ilani ya Uchaguzi ya chama hicho pamoja na kusikiliza kero za wananchi kwa lengo la kuzipatia ufumbuzi.
  Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akilakiwa na Mbunge wa Jimbo la Bagamoyo, Dk. Shukuru Kawambwa wakati wa mapokezi akitokea Kibaha Vijijini katika ziara ya kuimarisha uhai wa chama na kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa kuata Ilani ya Uchaguzi ya chama hicho pamoja na kusikiliza kero za wananchi kwa lengo la kuzipatia ufumbuzi.
Kinana akisaidia kupiga ripu jengo la Uzazi katika Zahanati ya Yombo, wilayani Bagamoyo,Pwani
Kinana akihutubia baada ya kushiriki ujenzi katika Zahanati hiyo ya Yombo
Kinana akifungua mlango baada ya kuzindua jengo jipya la ofisi ya Mtendaji Kata ya Dunda, Mjini Bagamoyo
Kinana akiondoka baada ya kufungua rasmi jengo hilo
Kinana akiangalia kikundi cha ngoma kilichokuwa kinatumbuiza alipowasili katika Ofisi ya CCM Wilaya ya Bagamoyo
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akishiriki kupiga marimba wakati kikundi cha ngoma kikitumbuiza katika Ofisi za CCM Wilaya ya Bagamoyo.
Jengo la Makataba lililozinduliwa na Kinana katika Shule ya Jitegemee, mjini Mtwara
Sehemu ya umati wa watu waliohudhuria mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Katibu Mkuu wa CCM, Kinana akatika Uwanja wa Shule ya Jitegemee wilayani Bagamoyo.
Mbunge wa Jimbo la Bagamoyo, Dk. Shukuru Kawambwa akielezea katika mkutano wa hadhara kuhusu miradi mbalimbali ilivyotekelezwa jimboni humo kwa kufuata Ilani ya Uchaguzi ya CCM.
Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo, Ahmed Kipozi (kushoto) akijibu moja ya maswali yaliyulizwa na wananchi wakati wa mkutano huo. Kulia ni Katibu Mkuu wa CCM, Kinana.
Baadhi ya wananchama wapya wa CCM wakila kiapo baada ya kukabidhiwa kadi.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.