KINANA AONGOZA KIKAO CHA MAKATIBU WAKUU WA VYAMA RAFIKI VILIVYOPIGANIA UKOMBOZI WA NCHI ZA KUSINI MWA AFRIKA

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (katikati) akiongoza kikao cha makatibu wakuu wa vyama rafiki vilivyopigania Ukombozi wa Nchi Kusini mwa Afrika (FLM), nchini Afrika Kusini. Kushoto kwa Kinana ni Katibu Mtendaji Mkuu wa ZANU-PF ya Zimbabwe, Didymus Mutasa na anayefuata ni Katibu Mkuu wa ANC ya Afrika Kusini,Gwede Mantashe. Kulia kwa Kinana aliyevaa miwani ni Katibu Mkuu wa MPLA ya Angola, Juliao Paulo 'Dino Matrosse' na anayefuata ni Katibu Mkuu wa SWAPO cha Namibia, Nangolo Mbumba. (PICHA YA OFISI YA KATIBU MKUU WA CCM)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.