KINANA ASIKITISHWA SERIKJALI KUTOITENDEA HAKI HOSPITALI TEULE YA TUMBI,KIBAHA


 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kushoto) na Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Pwani, Mwinshehe Mlao wakisaidia kufyeka katika shughuli ya usafishahji wa shamba la Vijana wakati wa ufunguzi wa Kambi ya Umoja wa Vijana wa CCM eneo la Boko Timiza, wakati wa ziara ya katika muendelezo wa ziara ya kuimarisha uhai wa chama na kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya Uchaguzi ya chama hicho pamoja na kusikiliza kero za wananchi kwa lengo la kuzipatia ufumbuzi.
 Kinana akiteremka baada ya kuweka jiwe la msingi na kushiriki ujenzi wa tanki maji katika Mtaa wa Muheza katika Jimbo la Kibaha Mjini wakati wa ziara yake.
 Katibu Mkuu Kinana akishirikiana na viongozi wengine kusafisha shamba la Hekali 25 za shamba la Vijana eneo la Boko timizi wilayani Kibaha.
 Kinana akizindua ujenzi wa jengo la CCM wilaya ya Kibaha linalojengwa kwa msaada wa Mbunge wa Jimbo la Kibaha Mjini, Sylvestry Koka (kushoto kwake) kwa gharama ya sh. mil 100 mjini Kibaha, Pwani.
 Kinana akishiriki katika ujenzi wa jengo la CCM Wilaya ya Kibaha linalojengwa kwa msaada uliotolewa na Mbunge wa Jimbo la Kibaha Mjini, Sylvestry Koka.
 Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye wakati wa ujenzi wa jengo hilo.
 Kinana akihutubia baada ya kushiriki katika ujenzi wa jengo hilo la CCM
 Ramani ya jengo la CCM Wilaya ya Kibaha
 Kinana akipanda mti wa kumbukumbu mbele ya jengo hilo
 Chipukizi wa CCM wakiimba wimbo mbele ya Kinana na wakati wa hafla ya uzinduzi wa ujenzi wa jengo hilo la CCM
 Kinana akiwapongeza chipukizi wa CCM kwa kuimba wimbo mzuri wenye maudhui ya kuwaponda wapinzani
 Vijana wakishangilia wakati Kinana akihutubia katika hafla ya ufunguzi wa Kambi ya Vijana eneo la Boko timizi, Kibaha. Kinana aliwataka vijana nchini kujenga tabia ya kushiriki kwenye shughuli za kiuchumi
 Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mwantumu Mahiza (kulia), akichangia fedha kwa ajili ya kambi ya vijana wa CCM iliyoanza leo.
 Vijana wakishangilia baada ya Katibu Mkuu wa CCM kushiriki nao kufyeka shamba lao.
 Kinana akiingia kukagua
 Kinana akimsikiliza Mkurugenzi wa Huduma za Afya wa Hospitali Teule ya Tumbi,Dk.Peter Dattani (kulia0, aliyekuwa akielezea jinsi chumba cha tiba ya wagonjwa mahututi kilivyoosa baadhi ya vifaa vikiwemo mashine  vilivyoahidiwa kutolewa na serikali takribani miaka mitatu imepita. Chumba hicho muhimu hakina huduma muhimu ukizingatia kwamba hospitali hiyo inatoa huduma za majeruhi wengi wa ajali nyingi zinazotokea katika Barabara ya Morogoro.

 Kinana akimuangalia mmoja wa majeruhi wa ajali akipatiwa matibabu katika hospitali hiyo
 Moja ya majengo mapya ya hospitali hiyo
Kinana akishiriki ujenzi wa tanki la maji katika Mtaa wa Muheza, wilayani Kibaha leo

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.