MAKALLA ACHANGIA SH. MIL. MOJA KWA KIKUNDI CHA AKINAMAMA CHA UPENDO MVOMERO

 Mbunge wa Jimbo la Mvomero, ambaye pia na Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla akikabidhi shilingi milioni moja kwa kikundi cha Upendo-Mvomero, wakati wa ziara yake jimboni humo jana
 Viongozi wa ccm kata ya mvomero wakimpokea naibu waziri maji na mbiunge wa mvomero kuzindua kikundi cha hisa cha Upendo-Mvomero
Makalla akipongezwa na kuagwa baada ya kuzindua na kukabidhi mchango wa shilingi milioni moja kikundi cha Upendo-mvomero
Tutakuchagua Tenaaaaa!viongozi wa matawi ya ccm kata ya Mvomero na wanachama wa kikundi cha Upendo 1-mvomero wakinyosha mikono kwa kauli ya kumchagua tena ubunge mwakani

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI