Naibu Waziri Maji na Mbunge wa Mvomero, Amos Makalla (aliyevaa kaunda suti katikati) akiwapatia wananchi namba yake ya simu ili awe anawasiliana nao baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara katika Kijiji cha Wami Sokoine, wilayani Mvomero, Morogoro
Naibu Waziri Maji na Mbunge wa Mvomero, Amos Makalla (aliyevaa kaunda suti) akizungumza na Kamanda wa Polisi Jamii wa Kijiji cha Wami Sokoine, Hamis Hasan alipokuwa katika ziara katika Kijiji hicho, wilayani Mvomero, Morogoro
Mmoja wa wanakijiji akiuliza swali kwa Mbunge, Makalla wakati wa mkutano huo

Comments