MAKAMU WA RAIS DKT. MOHAMMED GHARIB BILALAWAAGA MAHUJAJI LEO JIJINI DAR ES SALAAM


 Makamu wa Rais Dkt Mohammed Gharib Bilal akisalimiana na Viongozi wa Taasisi ya Shirikisho ya kamati za Hijja alipowasili Viwanja vya Karimjee Dar es salaam leo
 Baadhi ya Mahujjaji wanaotarajiwa kwenda kutekeleza ibada ya Hijja huko Makka, wakimsikiliza Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Bilal alipokua akiwahutubia katika viwanja vya Karimjee Dar es salaam leo
 Baadhi ya Mahujjaji wanaotarajiwa kwenda kutekeleza ibada ya Hijja huko Makka, wakimsikiliza Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Bilal alipokua akiwahutubia katika viwanja vya Karimjee Dar es salaam leo 
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal akiwahutubia baadhi ya Mahujjaji wanaotarajiwa  kwenda kutekeleza Ibara ya Hijja huko Makka, katika viwanja vya Karimjee Dar es salaam leo

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.