Matukio katika picha Bunge Maalum la Katiba Mjini Dodoma 03 Septemba, 2014.


PIX 6.Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta (kulia) akiteta jambo na Mzee Kingunge Ngombale Mwiru wakati wa Bunge Maalum la Katiba leo 03 Septemba, 2014 Mjini Dodoma.
PIX 2. PIX 7,Baadhi ya Wajumbe toka Kamati mbalimbali wakiendelea kuwasilisha taarifa za Kamati zao katika Bunge Maalum la Katiba leo 03 Septemba, 2014 Bungeni Mjini Dodoma.
PIX 11,Baadhi ya Wajumbe toka Kamati mbalimbali wakiendelea kuwasilisha taarifa za Kamati zao katika Bunge Maalum la Katiba leo 03 Septemba, 2014 Bungeni Mjini Dodoma.
PIX 20. PIX 18. - CopyBaadhi ya Wajumbe toka Kamati mbalimbali wakiendelea kuwasilisha taarifa za Kamati zao katika Bunge Maalum la Katiba leo 03 Septemba, 2014 Bungeni Mjini Dodoma.
(Picha zote na Benedict Liwenga, Maelezo-Dodoma)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*