MATUKIO KUTOKA BUNGE MAALUM LA KATIBA MJINI DODOMA

      


1Naibu Waziri wa Habari, Vijana ,Utamaduni na Michezo ambaye pia ni Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Juma Seleman Nkamia(katikati) na Mjumbe Mwenzie Said Amour Arfi(kulia) wakibadilishana mawazo leo mjini Dodoma na Mtangazaji wa Shirika la Utangazaji la Tanzania (TBC) Shaban Kissu (kushoto) mara baada ya kikao cha 41 ambacho  kimepitisha marekebisho ya Kanuni za Bunge ili ziwawezeshe wajumbe walioko nje kupiga kura ya kupitisha vifungu mbalimbali vya Katiba inayopendekezwa.Picha na MAELEZO-Dodoma 2Waziri wa Habari , Vijana , Utamaduni na Michezo ambaye pia ni Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Dkt.Fenella  Mukangara (kushoto)  akibadilisha mawazo na Mjumbe mwenzie Paul Makonda(katikati)  na Rais  wa Shirikisho la Filamu Tanzania (Taff), Simon Mwakifwamba (kulia) mara baada ya kikao cha 41 ambacho  kimepitisha marekebisho ya Kanuni za Bunge ili ziwawezeshe wajumbe walioko nje kupiga kura ya kupitisha vifungu mbalimbali vya Katiba inayopendekezwa.
3Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba John Cheyo (kushoto) na Paul Kimiti (kulia) wakibadilishana mawazo nje ya ukumbi mara baada ya kikao cha 41 ambacho  kimepitisha marekebisho ya Kanuni za Bunge ili ziwawezeshe wajumbe walioko nje kupiga kura ya kupitisha vifungu mbalimbali vya Katiba inayopendekezwa.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI