MBUNIFU WA MAVAZI WA KIMATAIFA SHERIA NGOWI AKUTANA NA RAIS JAKAYA KIKWETE IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

 Mbunifu wa mavazi wa kimataifa Sheria Ngowi (kulia) akibadilishana mawazo na Rais Jakaya Kikwete IKULU Leo Jijini Dar es Salaam alipomtembelea na kujadili mambo mbalimbali.
 Rais Jakaya Kikwete akijadiliana na Ujumbe Maalum Ukiongozwa na Mbunifu wa mavazi wa kimataifa Sheria Ngowi (wa kwanza Kulia) ikulu jijini Dar es Salaam Leo
  Rais Jakaya Kikwete akipitia baadhi ya sampuli za vitambaa vya nguo vinavyotumiwa na mbunifu wa mavazi wa kimatafaifa Sheria Ngowi (kulia)IKULU Jijini Dar es Salaam LEO,Kushoto ni Makamu wa Rais wa Sheria Ngowi Brand Haki Ngowi.
Rais Jakata Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe Maalum Kutoka Sheria Ngowi Brand Ukiongozwa na Mbunifu wa mavazi wa kimataifa Sheria Ngowi (wa pili kushoto) Makamu wa Rais wa Sheria Ngowi Brand Haki Ngowi (wa pili Kulia) Mkuu wa Kitendo cha Biashara na Matangazo Deo Kessy (wa kwanza kushoto) na Kiongozi wa idara ya habari kutoka Sheria Ngowi Brand Atunza Nkrulu (wa kwanza Kulia). Picha na Freddy Maro -IKULU

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.