NAIBU IGP AKUTAKA NA MAKAMISHINA WA POLISI KUTOKA NAMIBIA


1Naibu Inspekta Jenerali wa Polisi,Abdulrahman Kaniki akimkabidhi zawadi Kamishna wa Polisi wa Namibia Bw.Schalk Meuwesen ofisini kwake jana.Kamishna huyo yupo nchini kwa ziara ya siku tatu akiwa na maafisa wengine kutoka Namibia kujifunza jinsi Jeshi la Polisi Tanzania lilivyofanikiwa katika kutekeleza Maboresho yake.(Picha na Frank Geofray wa Jeshi la Polisi).

2Naibu Inspekta Jenerali wa Polisi,Abdulrahman Kaniki akimfafanulia namna maboresho ya Polisi yalivyoanza Kamishna wa Polisi wa Namibia Bw.Schalk Meuwesen ofisini kwake jana.Kamishna huyo yupo nchini kwa ziara ya siku tatu akiwa na maafisa wengine kutoka Namibia kujifunza jinsi Jeshi la Polisi Tanzania lilivyofanikiwa katika kutekeleza Maboresho yake.(Picha na Frank Geofray wa Jeshi la Polisi).
3Naibu Inspekta Jenerali wa Polisi,Abdulrahman Kaniki akiwafafanulia namna maboresho ya Polisi yalivyoanza Makamishna wa Polisi kutoka Jeshi la Polisi la nchini Namibia Bw.Schalk Meuwesen na Bw.Abed Kashihakumwa ofisini kwake jana.makamishna hao pamoja maafisa wengine wapo nchini kwa ziara ya siku tatu kujifunza jinsi Jeshi la Polisi Tanzania lilivyofanikiwa katika kutekeleza Maboresho yake.(Picha na Frank Geofray wa Jeshi la Polisi).

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA