RUGEMALIRA KUJENGA KITUO KIKUBWA CHA TIBA YA SARATANI YA MATITI BUKOBA

 Mshauri wa Biashara wa Kimataifa wa Kujitegemea wa Kampuni ya Mabibo Beer Wines and Spirits LTD , James Rugemarila (kushoto) na Mwenyekiti wa kampuni hiyo, Benedicta Rugemalira wakim (kulia) zawadia Daktari Bingwa wa magonjwa ya saratani ya matiti, Profesa Anthony Pais kutoka India ambaye amemaliza ziara nchini baada ya kufanya mihadhara mbalimbali na madaktari kuhusu ugonjwa huo. Profesa Pais alifanyiwa hafla ya kuagwa jana katika Hoteli ya Courty Yard, Dar es Salaam. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)
 Rugemalira akifafanua jambo wakati wa hafla hiyo ambapo pia alisema kuwa wana mpango wa kujenga kituo kikubwa cha mafunzo na tiba ya Saratani ya Matiti mjini Bukoba Kagera.
 Mwanafunzi wa Chuo cha Tiba Muhimbili, Dk. Sima Rugarabamu akielezea jinsi walivyofurahishwa na mihadhara ilioyoendeshwa na Profesa Anthony. PICHA ZOTE NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
 Baadhi ya wageni waalikwa  ambao ni waandishi wa habari wakiwa katika hafla hiyo.

Mama Rugemalira akibadilishana mawazo na Profesa Anthony

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA