SIMBA YAIBAMIZA GOR MAHIA MABAO 3-0

 Wachezaji wa Simba wakishangilia kwa kupompongeza Paul Kiongera baada ya kufunga goli la 3 kwa timu yake hiyo.

 Emmanuel Okwi (kushoto) wa Simba, akirukiwa na dalunga David Owino  wa  Gor Mahia ya Kenya, wakati wa mchezo wa kirafiki wa Kimataifa, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam
 Emmanuel Okwi (kulia) wa Simba, akiwania mpira na Harun Shakana wa  Gor Mahia ya Kenya, wakati wa mchezo wa kirafiki wa KImataifa, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam
Ramadhan Singano (kushoto) wa Simba, akipiga mpira mbele ya Harun Shakana wa Gor Mahia ya Kenya, wakati wa mchezo wa kirafiki wa KImataifa, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Simba imeshinda mabao 3-0

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI