WEMA SEPETU AMWAGA MIJIHELA USIKU MAALUM WA BIRTHDAY YA MR. JACK’S A.K.A JACK DANIEL’S ULIOPAMBWA NA SKYLIGHT BAND

DSC_0002
Doreen Mangula wa Mark Techno Limited ambao ni wauzaji na wasambazaji mvinyo na vinywaji vikali kikiwemo kinywaji cha Jack Daniel’s akitoa maelezo ya kinywaji cha Jack Daniel’s kwa mashabiki wa Skylight Band waliokuwa wakikaribishwa na SHOT za Mr. Jack’s kwenye usiku maalum wa kusheherekea siku ya kuzaliwa kwa Mr. Jack’s a.k.a Jack Daniel’s.
DSC_0014
Doreen Mangula wa Mark Techno Limited ambao ni wauzaji na wasambazaji kinywaji cha Jack Daniel’s akizungumza na mashabiki wa Skylight Band kuhusina na kinywaji hicho kikali cha Mr. Jack’s (Jack Daniel’s) ambacho hakina Hang Over na harufu mbaya mdomoni na kukufanya ujisikie mwenye furaha wakati wote.
DSC_0017
Kaunta ya Mr. Jack’s a.k.a Jack Daniel’s ikisimamiwa na Doreen Mangula wa Mark Techno Limited ambao ni wauzaji na wasambazaji kinywaji cha Jack Daniel’s.
DSC_0042
Cheers to you Mr. Photographer…..wageni wakiendelea kupata SHOT za Mr. Jack’s.
DSC_0045
Baadhi ya brand za Mr.Jacks’ zenye ujazo tofauti zikiwa zimepambwa kwenye kaunta maalum.
DSC_0049
Mwanamanyoya akishow love na Mr.Jack’s.
DSC_0051
Meneja wa Skylight Band Aneth Kushaba AK47 akishangaa kuona brand mbalimbali zakuvutia za Mr. Jack’s.
DSC_0081
Mashabiki wa Skylight Band wakiendelea kufurahia SHOT za Mr.Jack’s.
DSC_0171
DSC_0210
DSC_0135
Mkurugenzi Mtendaji wa Skylight Entertainment Dr. Sebastian Ndege(mwenye kofia) akiwapa tano baadhi ya mashabiki wa Skylight Band kwenye kaunta ya Mr.Jack’s iliyokuwa inatoa fursa kwa mashabiki wa band hiyo kupata SHOT za bure za Jack Daniel’s.
DSC_0131
Team Wanamanyoya wakipata Ukodak na tabasamu bashasha baada ya kupata SHOT za Mr.Jack’s anayeonyesha upendo kwa wadau wa kinywaji hicho.
DSC_0059
Meneja wa Skylight Band Aneth Kushaba AK47 akiandika ujumbe maalum wa kumtaki birthday njema Mr. Jack’s.
Kwa picha zaidi ingia hapa

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.