ANGALIA TASWIRA MBALIMBA ZA SALA YA EID AL-ADHW-HAA 2014 UGHAIBUNI


Waumini wa dini ya kiislamu hapa nchini marekani na baadhi ya nchi za ulaya na uwarabuni leo wameunhana pamoja kusali sala ya Eid baada ya kukamilika ibada ya Hija huko Maka nchini Soudi Arabia.
Waumini wa Jumaiya ya kiIslamu, Tanzanian Muslim Community Washington DC wakipata picha ya pamoja baada ya kumaliza sala ya Eid Al-Adhw-haa, iliosaliwa  mapema asubuhi ya saa Moja Nanusu ya Siku ya Jumanne Oct 4, 2014 Msikiti wa Islamic Center New Hampshire Maryland US.( Picha zote na swahilivilla.blogspot.com(P.T)

Nchini Uingereza: Waumini wa wakiwa katika Sala sala ya Eid Al Hajj, iliosaliwa Siku yaJumanne Oct 4, 2014  Coventry Nchini Uingereza
Nawao pia hawakukanyuma baadhi ya kina Dada wa Tanzanian Muslim Community Washington DC wakipata picha ya pamoja maraa tu baada ya kumaliza sala ya Eid Al Hajj, iliosaliwa Siku ya Jumanne Oct 4, 2014 katika Msikiti wa Islamic Center Uliopo maeneo ya New Hampshire Maryland nchini Marekani.
Waumini waTanzania nchini India wakipata picha ya pamoja maraa tu baada ya kumaliza sala ya Eid Al Hajj, iliosaliwa Siku ya Jumanne Oct 4, 2014
Dj Moody akipata picha ya pamoja na Hudhaifa Shatry pamoja na Cheif wa swahilivilla Blog mara tu baada ya kusali sala ya Eid Al-Adhw-haa iliosaliwa Siku ya Jumanne Oct 4, 2014 Msikiti wa Islamic Center New Hampshire Maryland U.S.
Muazilishi wa Hilmy Disability Charity Organisation Faria Zam a.k.a ( Ferry Butcher) akipata picha ya pamoja na Waumini wa Coventy Way Hansloe, Nchini Uingereza mara tu baada ya kumaliza kusali Sala ya Eid Al Hajj.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI

KOCHA WA AL.AHLY ASEMA YANGA NI TIMU BORA NA NGUMU