BAADA YA KUTIKISA NCHINI OMAN, SKYLIGHT BAND WAREJEA NCHINI KUTOA BURUDANI YA NGUVU IJUMAA YA LEO


 Baada ya Safari ndefu ya nchini Oman ambako Bendi Inayotikisa nchini kwa sasa Skylight Band walitoa Burudani ya Nguvu huko ughaibuni na kuacha historia isiyofutika kirahisi, Sasa Bendi yako imerejea nchini Tanzani. Leo Kama kawaida yetu Skylight Band tutakuwa kiwanja cha nyumbani Thai Village kukuletea burudani ya nguvuuu kabisaaaaa ikiwa na kikosi kamili na masong mapyaaaaa,Usikose Leo kuanzia Sa Tatu Kamilii......
 Divas wa Skylight Band walisongesha vya kutosha kutoa burudani ya nguvu kutoka kushoto ni Aneth Kushaba, Digna Mbepera na wa mwisho kulia ni Mary Lucos.
Digna Mbepera akizipiga vocal vilivyo.

Hashimu Donode akiimba kwa hisia kaliii kutoa Burudani ya Nguvu
 Sam Mapenzi akiimba kwa raha zake kutoa burudani ya nguvuuu kwa mashabiki wake.
Ni Kiafrika zaidi.....mrembo wa Skylight Band Mary Lucos akiwa na furahaaa kubwaaa kuona  mashabiki wake wanafurahaaa.
 Aneth Kushaba AK47 akiimba kwa hisia kali ndani ya Thai Village Ijumaa ileeeee iliyopita kabla ya kuelekea nchini Oman.
Majembe ya Skylight Band wakiongozwa na Joniko Flower(wa kwanza kushoto) wakiyarudi vilivyo kuwapa burudani mashabiki wao
 Sam Mapenzi (wa kwanza kulia) akifuatiwa na Sony Masamba (katikati) na Joniko Flower (kushoto) wakiyarudi mauno.
Vijana wa kazi wakiendelea kupiga mzigooo.
 Baba ya Congo Joniko Flower akiongoza mashambulizi
 Daudi Tumba kwa rahaaa zake akichezea Tumbaaaa
 Tophy Bass akilicharaza Bass Gitaa vilivyooooo.
 Idrissa akizicharanga Drums zake kwa rahaaa kabisaaaaaa
 Mpiga Solo wa Skylight Band Joshua akizicharazaaaa nyuziiii.
16
 Rahaaaa sana ukipewa burudani na Skylight band Aneth Kushaba akiwaimbisha mashabiki wake!
 Mose Kinanda akizipiga ala vilivyooooooo.
Tophy Bass akimuonesha Mary Lucos Jinsi anavyolicharaza Bass Gitaa lakeeee
Aneth Kushaba Mzuka Ukampandaa akaamua  kwenda kucheza na mashabiki wake.
20
Mashabiki wakijirusha kwa rahaaa zaooo
 Rahaaa kabisa kila unapokutana na burudani toka Skylight Band
 Haya sasa wale wa mduaraaaa haoooo kwa rahaaa zaoo
Hapooo kati sasa ni viuonooooo viunoooooo
Blogger Hussein akiwa na wa ubani wake wakipata ukodak wa nguvuuuu,

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI