HABARI MPASUKOOOOO, HALMA MDEE NA WAFUASI 8 WA CHADEMA, WASHINDWA DHAMANA WASWEKWA GEREZA LA SEGEREA
Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa Chadema, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Kawe, Dar es Salaam, Halima Mdee na wafuasi 8 wa chama hicho wametupwa rumande katika gereza za Segera,baada ya kushindwa kutimiza vigezo vya dhamana katika shitaka la kuandamana isivyo halali.
Comments