Kinana akihutubia umati wa watu kwenye mkutano wa hadhara, jijini Tanga leo.PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG |
Bajaji zikiongoza msafara wa Kinana kwenda kwenye mkutano wa hadhara.
Msafara wa pikipiki ukiongoza msafara wa Kinana jijini Tanga.
Bodaboda zikiongoza msafara wa Kinana
Kinana akipiga Saluti ikiwa ni ishara ya kuwasalimia wananchi katika mkutano huo |
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akihutubia mkutano wa hadhara jijini Tanga
Kinana akihutubia katika mkutano wa hadhara na kuelezea miradi mbalimbali iliyotekelezwa kwa kufuata Ilani ya Uchaguzi ya 2010
wa Jimbo la Tanga Mjini, Omari Nundu akielezea jinsi miradi ilivyotekelezwa katika jimbo hilo |
Kinana akivalishwa kanzu aliyopewa na wazee wa Tanga baada ya kufurahishwa na hotuba yake
Wazee wa Tanga wakimpatia zawadi ya kiti maalumu Kinana |
Kinana akiwa katika vazi alilopewa zawadi na wazee wa Tanga baada ya kufurahishwa na hotuba yake
Kinana akiondoka baada ya kumaliza mkutano
Comments