MAELFU YA WAKAZI WA TUNDURU WAJITOKEZA KUMPOKEA PROF IBRAHIM LIPUMBA

 Dereva Boda boda ambao ni wananchama wa Chama cha Wananchi CUF wakiongoza msafara wa mapokezi ya Prof Ibrahim Lipumba mara tu alipo wasili Wilayani Tunduru akitokea Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma.Lipumba yupo Mikoa ya Kusini inayojumuisha Ruvuma,Lindi na Mtwara  kwa  ziara
ya siku 16 ikiwa na dhumuni la kuimarisha chama pamoja kuhamasisha
wananchi  kujitokeza  katika daftari  la
wapiga  kura na vitambulisho  vya
taifa
 Huu ni umati wa watu waliojipanga barabarani kumpokea prof Ibrahim Lipumba
 Wakazi wa Tunduru ambao ni wanachama wa Chama cha Wananchi CUF, wakiwa katika msafara wa Mwenyekiti wa chama  hicho,Prof
Ibrahim Lipumba
 Wanachama wa Chama cha Wananchi CUF wakiwa katika msafara wa mapokezi ya Mwenyekiti wa chama hicho,Prof
Ibrahim Lipumba
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF,Prof
Ibrahim Lipumba mwenye shati jekundu na kofia nyekundu akiwapungia mkono wanachama wa chama cha CUF mara tu baada ya kufika katika ofisi za CUF Wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma
 Polisi wakiwa katika ulinzi wa Prof Ibrahim Lipumba
Naibu Mkurugenzi wa Oganaizesheni Uchaguzi na Bunge wa Chama Cha Wananchi CUF – Shaweji Mketo akiwahutubia  wakazi wa wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma,kutokufanya makosa  wakati
wauchaguzi wa serikali  za mitaa
uliotangazwa  kufanyika Disemba 14 mwaka
huu wahakikishe wanakipigia Chama cha Wananchi CUF

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI

KOCHA WA AL.AHLY ASEMA YANGA NI TIMU BORA NA NGUMU