MTEMVU AZIDI KUZINDUA VICOBA TEMEKE


 Mbunge wa Jimbo la Temeke na Mbunge wa Wabunge, Abbas Mtemvu alipowasili katika Viwanja vya TCC Club, Dar es Salaam, (kushoto ni) Naibu meya na Diwani wa Miburani Juma Mkenga, na kulia ni Mwenyekiti wa Temeke Jogging, Mussa Mtulya.(PICHA NA KHAMISI MUSSA)
 Baadhi ya wanachama wa Vilab kumi vya Jogging Jimbo la Temeke wakimsikiliza Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu alipo kuwa akizindua Vikoba hivyo katika viwanja vya TCC Clob Dar es Salaam .
 Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu,  alipokuwa akizinduwa vikoba hivyo na kupitisha Harabe ambapo zaidi ya Sh. milioni 1.8 zilipatikana katika harambe hiyo
 Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu, kulia na Mwenyekiti wa Temeke Jogging, Mussa Mtulya , alipokuwa akizinduwa vikundi zaidi ya  kumi vya Vicoba.
 Pendo Masigati , alipofunguwa kinywaji cha Shampeni katika hafla hiyo ya uzinduzi wa Vikoba hivyo katika Viwanja vya TCC Clob ,Dar es Salaam
 Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu  (kulia), akimkabidhi Sh. Laki moja , Mwenyekiti wa Jogging Sports Club amaikocheni Dars Salaam,  Muhamed Husseni kwa ushiriki wao wakukubali mwaliko bila kujali umbali, wanao shuhudia katikati kushoto ni Diwani Hamisi Mzuzuri na anaye fatia ni Naibu meya na Diwani wa Miburani Juma Mkenga
Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu, akiongea na wana Habari baada ya uzinduzi wa Vicoba hivyo .

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA