Nakaaya Ashusha Kitu Kipya Sokoni, Ni Katika Albam Blessing

Nakaaya Ashusha Kitu Kipya Sokoni, Ni Katika Albam BlessingMsanii Naaziz kutoka Kenya akifanya vitu vyake jukwaani
Nakaaya Ashusha Kitu Kipya Sokoni, Ni Katika Albam Blessing
Nakaaya Ashusha Kitu Kipya Sokoni, Ni Katika Albam Blessing
Nakaaya Ashusha Kitu Kipya Sokoni, Ni Katika Albam Blessing
MSANII wa muziki wa kizazi kipya Nakaaya Sumari hivi karibuni alikonga nyoyo za mashabiki wake kwa kuzindua albam mpya iendayo kwa jina la Blessing yenye nyimbo kumi na mbili (12).
Albam hiyo ambayo ni albam yake ya pili ilizinduliwa jijini Arusha na kuhudhuriwa na mashabiki wa muziki wake kutoka mikoa ya Arusha, Manyara na Kilimanjaro. Huku akiungwa mkono na wasanii wenzake kutoka hapa hapa nchini na nje ya nchi.
Uzinduzi huo ulipambwa na burudani kabambe kutoka kwa Hisia, G Nako, Jambo squad wote kutoka Arusha, Naaziz kutoka Kenya, na Nakaaya mwenyewe yote hiyo ni kumpa sapoti msanii mwanzao.
Akizungumza kwa furaha mwanadada Nakaaya Sumari alisema kuwa anawashukuru sana wote waliokuja kumuunga mkono katika uzinduzi wake. “Nawashukuru sana mashabiki wangu kwa kunipa sapoti ya nguvu kwani wa lijitokeza kwa wingi, nimefurahi sana kwani huu ni mwanzo mzuri,” alisema Nakaaya.
“Albam hii imebebwa na wimbo wa Blessing ambao ni maalum kwa mwanangu kipenzi kwani yeye ni Baraka kwangu hata napokua mbali naye bado nakua na matumaini na faraja,” Nakaaya aliongeza kwa msisitizo.
Albam ya Blessing ipo sokoni sasa na inanyimbo nzuri za kuelimisha, kuburudisha na kuliwaza kama vile Utu uzima dawa, Temana na watu, Blessing, Beautiful, I am an African, Sister sister, Ngufurie, na Mwanamke shujaa, kubwa ni kumpa sapoti kwa kununua albam hii.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

𝙂𝘼𝙈𝙊𝙉𝘿𝙄 𝙆𝘼𝘾𝙃𝙀𝙕𝘼 𝙆𝙄𝘽𝙄𝙉𝙂𝙒𝘼.