PINDA AZINDUA JARIDA LA FIRST LA KUITANGAZA TANZANIA UGHAIBUNI

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akisalimiana na Mwenyekitna Muasisi wa Kampuni ya Invest Africa ya Uingereza, Bw. Robert Hersov kabla ya mazungumzo yao kwenye hoteli ya Savoy,London Oktoba 20, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama Jarida la  First baada ya kukabidhiwa nakala  ya toleo la  jaridai hilo na Muasisi wake, Rupert Goodman  (kulia) kwenye ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza uliopo London , Oktoba 21, 2014. Jarida  hilo limesheheni  makala zenye kuinadi Tanzania na vivutio vyake nje ya nchi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza wakati alipozindua toleo la  Jarida la First lenye makala mbalimbali za kuinadi Tanzania na Vivutio vyake nje ya nchi katika hafla iliyofanyika kwenye ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza, Oktoba 22, 2014. Kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Peter Kallaghe  na kulia ni Mwanzilishi wa jarida hilo, Rupert Goodman. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na baadhi ya watanzania wanaosoma nchini Uingereza kwenye ubalozi wa Tanzania nchini humo uliopo London Oktoba 21, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na baadhi ya watanzania wanaosoma nchini Uingereza kwenye ubalozi wa Tanzania nchini humo uliopo London Oktoba 21, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*