STRABAG WAZIBA NJIA KINONDONI, DAR, KUENDELEZA UJENZI

                    


Magari ya kampuni ya Strabag yakiwa kazini.

Vifaa vya kupimia vikiwa eneo la kazi.

Sehemu ya foleni inayotokana na ujenzi wa barabara hiyo.GPL(P.T)

Mfanyakazi wa Strabag akiwa barabarani kuongoza magari.

Magari yakichepuka njia mbadala.

Baadhi ya magari yakiwa pembeni mwa barabara.
KAMERA ya GPL imefanikiwa kufika eneo la Mwananyamala jijini Dar es Salaam na kujionea sehemu ya barabara ikiwa imezibwa ili kupisha uchimbaji na ujenzi wa mitaro maeneo ya barabara ya Kawawa, kwenye kona ya kuingia eneo la Vijana Mwananyamala, jijini Dar es Salaam.
Kuzibwa kwa barabara hiyo kumezua foleni katika barabara hiyo.
(Habari/Picha na: Gabriel Ng’osha/GPL)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

𝙂𝘼𝙈𝙊𝙉𝘿𝙄 𝙆𝘼𝘾𝙃𝙀𝙕𝘼 𝙆𝙄𝘽𝙄𝙉𝙂𝙒𝘼.