WAZIRI MKUU PINDA AMWAKILISHA KIKWETE KWENYE MJADALA WA UWEKEZAJI AFRIKA- LONDON

      

2aWaziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza kwenye mjadala  kuhusu fursa za uwekezaji  barani Afrika kwenye hoteli ya Savoyy , London, Oktoba 201014.Wengine pichani ni Rais Yoweri Museveni wa Uganda Rais wa Gahana,John Mahama na Rais wa Rwanda Paul Kagame. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
7aWaziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Rais wa Zamani wa Nigeria na Mwenyekiti wa mjadala  kuhusu fursa za uwekezaji  barani Afrika, Olusegun Obasanjo (kushoto) baada ya kuzungumza  katika mjadala huo  kwenye hoteli ya Savoy , London, Oktoba 201014. wengine pichani kutoka kushoto ni Rais Yoweri Museveni wa Uganda, Rais John  Mahama wa Gahana na Rais Paul Kagame wa Rwanda. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
6aWaziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Rais wa Zamani wa Nigeria na Mwenyekiti wa mjadala  kuhusu fursa za uwekezaji  barani Afrika, Olusegun Obasanjo (kushoto)  baada ya kuzungumza  katika mjadala huo  kwenye hoteli ya Savoy , London, Oktoba 201014. wengine pichani kutoka kushoto ni Rais Yoweri Museveni wa Uganda  na Rais Paul Kagame wa Rwanda. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
4A Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Thabit Mwambungu (kulia) na Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Peter Kallage  Wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipozungumza kwenye mjadala  kuhusu fursa za uwekezaji  barani Afrika kwenye hoteli ya Savoy , London, Oktoba 201014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
1aNaibu Mawaziri, Charles Kitwanga wa Nishati na Madini (kushoto), Dkt. Charles Tizeba wa Uchukuzi (katikati ) na Mahadhi Maalim wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipozungumza kwenye mjadala  kuhusu fursa za uwekezaji  barani Afrika kwenye hoteli ya Savoy , London, Oktoba 201014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI