WAZIRI wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk Hussein Mwinyi aongoza waombolezaji kuuaga mwili wa marehemu mstaafu Meja Jenerali Muhidin Kimario




 Waziri Mwinyi (wa pili kulia) akikaribishwa na Waziri William Lukuvi.
 Akisaini kitabu cha wageni katika maombolezo hayo

 Mkuu wa majeshi mstaafu Jenerali Robert Mboma akisaini kitabu cha maombolezo.
 Maafisa wakuu wa jeshi wakiwa wamebeba mwili wa marehemu.
 Mwinyi na Lukuvi wakielekea kuuaga mwili wa marehemu.
 Mboma akitoa heshima zake za mwisho.
 Ndugu na watoto wa marehemu wakiuaga mwili wa marehemu Kimario.
 Mwili ukiwa katika gari maalumu.
Picha ya marehemu enzi za uhai wake.

WAZIRI wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk Hussein Mwinyi aliongoza waombolezaji kuuaga mwili wa marehemu mstaafu Meja Jenerali  Muhidin Kimario aliyefariki Oktoba 6 mwaka huu nchini India akipata matibabu.

Hafla hiyo imefanyika leo katika viwanja vya kambi ya Jeshi la Wananchi ya Lugalo jijini Dar es Salaam.

Marehemu aliwahi kushika nyadhifa mbalimbali serikalini pia. Baada ya kuagwa  kwa  heshima za  kijeshi mwili ulipelekwa  katika Msikiti wa Al-Mamur ulioko Upanga, jijini Dar e Salaam kwa  ajili ya swala ambapo utasafirishwa kwenda kwao moshi kwa mazishi yatakayofanyika kesho.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA