Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake ya ufunguzi wa semina ya Viongozi wa juu wa Mikoa na Wilaya za zanzibar na Baadhi kutoka Bara inayohusu Mahusiano na mwingiliano katika siasa na utendaji kwa Wakuu wa Mikoa,Wakuu wa Wilaya na Makatibu Tawala wa mikoa ya zanzibar na baadhi Tanzania Bara leo katika Hoteli ya Sea Cliff Kama nje ya Mji wa Zanzibar.
Baadhi ya wakuu wa Mikoa na Wilaya wakiwa katika ufunguzi wa semina na ya siku tatu iliyowashirikisha makatibu tawala wa Mikoa ya Zanzibar na baadhi ya Tanzania Bara iliyoanza leo katika ukumbi wa Sea Cliff nje kidogo ya Mji Zanzibar. Washiriki wa katika semina ya Viongozi wa juu wa Mikoa na Wilaya za zanzibar na Baadhi kutoka Bara wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipotoa hutuba yake ya ufunguzi wa semina hiyo leo katika Hoteli ya Sea Cliff Kama nje ya Mji wa Zanzibar.[Picha na Ikulu.]
Abdulrahman Ghasia alipowasili katika viwanja vya Sea Cliff Mangapwani Mkoa wa Kaskazi/ni B Unguja leo alipofika kufungua semina ya Viongozi wa Juu Mikoa na Wilaya za Zanzibar, [Picha na Ikulu.]
Comments