LOWASSA, PINDA NA SLAA WAKABANA KOO URAIS 2015

 Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye (katikati), akichangia wakati wa mdahalo wa matokeo ya utafiti ya Taasisi ya Twaweza wa maoni ya wananchi ya nani awe Rais 2015? Dar es Salaam. Kulia ni Mtafiti Elvis Mushi kutoka taasisi hiyo na Mhadhili wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Benson Bana ambaye pia alikuwa mchangiaji wa mdahalo huo. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
 Baadhi ya washiriki wakiwa katika mdahalo huo.
 Maria Sarungi kutoka Taasisi ya Change Tanzania, akichangia katika mdahalo wa matokeo ya utafiti wa Taasisi ya Twaweza wa maoni ya wananchi ya nani awe Rais 2015.Kushoto ni mmoja wa wachangiaji wa mdahalo huo, Jenerali Ulimwengu na Mkuu wa Taasisi ya Twaweza, Rakesh Rajani.
 Mwanasiasa mkongwe, Jenerali Ulimwengu, akichangia katika mdahalo huo, ambapo alisema kuwa ilipaswa utafiti huo ueleze pia kuwa anayetakiwa kuwa Rais amefanikisha jambo gani muhimu katika Taifa.
 Mwanafunzi Loyce Gayo, akichangia hoja katika mdahalo huo wa matokeo ya utafiti wa Taasisi ya Twaweza wa maoni ya wananchi ya nani awe Rais 2015?
 Mkuu wa Taasisi ya Twaweza, Ramesh Rajani akitoa maelezo kuhusu mafanikio ya matokeo hayo ya utafiti
 Baadhi ya washiriki wa mataifa mbalimbali wakishiriki kwenye madahalo huo
 Wageni waalikwa wakiwa katika mkutano huo
 Mhadhili wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Benson Bana akichangia hoja . Kulia ni Nape wa CCM
 Nape akichangia wakati wa mdahalo huo
 Andrew Mwakalobo akichangia hoja katika mdahalo huo
 Jenerali Ulimwengu akifurahia jambo na Benson Bana baada ya kumalizika kwa mdahalo huo
 Nape akijadiliana jambo na Maria Sarungi
 Juma Mwapachu akijadiliana jambo na Bashe wa CCM
 Nape akizungumza na wanahabari kuhusu matokeo ya utafiti huo
 Nape akifurahia jambo na Absalom Kibanda  Mhariri Mtendaji wa magazeti ya Mtanzania na Rai
Mtafiti kutoka Taasisi ya Twaweza, Elvis Mushi akiwasilisha matokeo ya utafiti wa maoni ya wananchi ya nani anatakiwa kuwa rais 2015, katika mdahalo uliofanyika jijini Dar es Salaam. katika utafiti huo, Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa aliongoza kwa asilimia 13, akifuatiwa na Waziri Mkuu wa sasa, Mizengo Pinda kwa asilimia 12 na Wiliblod Slaa asilimia 11.
Nape, Kibanda na Bashe wakijadiliana jambo baada ya matokeo hayo kutangazwa

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*