MKUTANO WA PILI WA WADAU WA UMEME WAFANYIKA HOTELI YA HYATT RECENCE KILIMANJARO JIJINI DAR ES SALAAM LEO


 Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mkutano wa pili wa wadau wa umeme kujadili jinsi ya upatikanaji wa umeme, usafirishaji na ugawaji wa huduma ya umeme uliofanyika Dar es Salaam leo asubuhi Hoteli ya Hyatt Regence Kilimanjaro.

  Wadau wa umeme wakimsikiliza Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (hayupo pichani, katika mkutano wa pili wa kujadili jinsi ya upatikanaji wa umeme, usafirishaji na ugawaji wa huduma ya umeme uliofanyika Dar es Salaam leo asubuhi Hoteli ya Hyatt Regence Kilimanjaro.

 Ofisa Maendeleo wa Biashara wa Kampuni ya SoENERGY International Afrika, Ali Ibrahim (kushoto), akiwa na mfanyakazi mwenzake kwenye banda lao katika mkutyano huo.
 Mkurugenzi wa Shirika la Umeme Tanzania (katikati), akiteta jambo na wadau wa umeme katika mkutano huo.
 Wadau wa Umeme wakijadiliana jambo kwenye mkutano huo.
Wadau wa umeme wakifurahia jambo.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.