NHIF YAWAFANYIA UPIMAJI MAJAJI MKOANI MWANZA


1Afisa Masoko na Elimu kwa Umma wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Bi. Catherine Kameka akimpima urefu askari wa kituo cha Ilemela Pc Auson Pascal katika zoezi la upimaji afya linaloendeshwa na NHIF katika mkutano wa Majaji unaofanyika Mkoani Mwanza.
2Daktari Kevin Kanama akimpima kasi ya mapigo ya moyo Mkurugenzi wa Ukaguzi na Maadili wa Mahakama Kuu Mhe. Ilivin Mugeta katika zoezi la upimaji afya linaloendeshwa na NHIF katika mkutano wa Majaji unaofanyika Mkoani Mwanza.
3Jaji wa Mahakama Kuu Mhe. Moses Mzuna akipimwa kipimo cha sukari na Daktari Godliver Lwakatare katika zoezi la upimaji afya linaloendeshwa na NHIF katika mkutano wa Majaji unaofanyika Mkoani Mwanza.
4John Mgeta akipewa maelezo ya hali lishe na Daktari Kevin Kanama katika zoezi la upimaji afya linaloendeshwa na NHIF katika mkutano wa Majaji unaofanyika Mkoani Mwanza.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI