NYUMBA INAPANGISHWA MAKUMBUSHO DAR

Nyumba ya kisasa  inapangishwa,  ipo mita 200 kutoka kituo cha basi makumbusho,(nyuma ya ofisi za tigo), barabara ya Ali Hassan Mwinyi jijini Dar es Salaam. Ina uzio na eneo kubwa la kuegesha magari,  maji na umeme, vyumba viwili vya kulala kimoja self contained,sebule,jiko,stoo, dining room. Kodi ya pango kwa mwezi ni shilingi 500,000/- tu. Kwa yeyote anayeshitaji nyumba hiyo iliyo karibu na kwenda popote jijini Dar es Salaam na vitongoji vyake, basi “atwange” namba +255-7652-62321 au wasiliana kwa email:- roseangel44@yahoo.com. Haina dalali (DALALI MARUFUKU). Mawasiliano hayo ni moja kwa moja kwa muhusika. KARIBUNI SANA

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.