Picha Kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu:Serikali Kuwalinda Wahadzabe


 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama ngoma kabla ya kufungua kongamno la ufugaji nyuki Afrika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) Novemba 11, 2014. Kushoto ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipata maelezo kuhusu vifaa vya kukamulia asali kutoka kwa watalaam wa Kichina, Huang Hejie (kushoto) na  Zhinyong Wang (watatu kushoto) katika kongamano la Ufugaji Nyuki Afrika  lililofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha  (AICC) Novemba 11, 2014.
 Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akitazama mazao mbalimbali yanayotokana na nyuki katika maonyesho yaliyokwenda sambambamba na Kongamano la  Ufugaji Nyuki Afrika  kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC), Novemba 11, 2014. Kushoto ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu na kushoto kwake ni Mhamasishaji wa ufugaji nyuki na usindikaji asali  wilayani Loliondo, Krystern Erickson.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA