WAKAZI WA MBEYA WILAYA MOMBA JIMBO LA MBOZI MAGHARIBI MJI WA TUNDUMA WAAZIMIA KWA PAMOJA KUVAA SARE ZA CHADEMA

Hapa ni mkoani mbeya wilaya ya Momba jimbo la Mbozi mashagharibi mji wa Tunduma almaarufu kama Chadema Town mji huu upo border ya Zambia na Tanzania.

Wanachadema wa mji huu wameazimia kwa pamoja kuwa kuanzia tarehe 1-11-2014 kila mwanachadema aanze kuvaa skafu, kofia, shati ama nguo yoyote ya chadema kila anapokuwa kwenye majukumu yake.

Azimio hilo limeanza kazi leo hii na kama unavyoona kwenye picha hapa ni moja ya sehemu ya mji huo watu wakiendelea na majukumu yao ya kila siku huku wakiwa wamevalia sare za chadema.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI

KOCHA WA AL.AHLY ASEMA YANGA NI TIMU BORA NA NGUMU