JK AMNG'OA UWAZIRI PROFESA ANNA TIBAIJUKA SAKATA LA AKAUNTI YA ESCROW

 Mh.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na taifa kupitia Wazee wa Dar es Salaam leo katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadik na kulia ni katibu wa Baraza la wazee wa Dar es Salaam Abdul Mtulia.Rais alizungumzia sauala ya vurugu katika uchaguzi wa Srikali za Mitaa na kuagiza vyombo vya kuwachukulia hatua za kisheria. Vilevile alifafanua kuhusu sakata la Akaunti ya Tegeta Escrow na kuchukua uamuzi wa kumng'oa aliyekuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka na kumuweka kiporo Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo.
 Baadhi ya mawaziri wakisikiliza kwa makini hotuba ya Rais Jakaya Kikwete, ambapo alifafanua kuhusu sakata la Akaunti ya Tegeta Escrow na kutangaza kumg'oa uwaziri aliyekuwa  Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka na kumuweka kiporo Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo.
 Baadhi ya wazee na wananchi wakimsikiliza kwa makini Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete wakati alipokuwa akilihutubia taifa kupitia wazee wa Dar es Salaam katika ukumbi wa  Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam leo
 Wazee wa Wilaya ya Temeke wakiwa katika mkutano huo
 Sehemu ya umati wa wananchi wakiwa kwenye mkutano huo

Baadhi ya viongozi wa dini wakiwa katika mkutano huo.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.