Kikosi cha Timu ya Simba Kikiwasili Bandari ya Zenj kwa Ajili ya Kambi yake.

 Kocha Mkuu wa Kikosi cha Simba Phili, akiwasili katika mji wa Zenj kwa ajili ya kuweka kambi ya timu yake kujiandaa na mzunguko wa Pili ya Ligi Kuu ya Vodacom akielekea kubanda basi maalum liloloandaliwa kwa ajili yao, kwa ajili ya kambi yao ya mazoezi. 
 Mwenyeji wa Timu ya Simba Kiongozi wa Simba Zanzibar Ndg. Abdul Mshangama akiwa na Kocha Mkuu wa Simba Phili wakiwa katika bandari ya Zenj baada ya kuwasili kwa ajili ya kuweka kambi yao ya mazoezi Zenj.



 Wachezaji wa Simba wakielekea katika basi maalum walioandaliwa baada ya kuwasili katika bandari ya Zenj na boti ya Kilimanjaro kwa ajili ya kuweka kambi yao Zenj kujiandaa ligi kuu ya Vodacom mzunguko wa pili.
Wachezaji wa Timu ya Simba ya wakiingia katika mabasi maalum yaliandaliwa na Simba Zanzibar kwa ajili kuelekea kambini iliotayarishwa na wenyeji wao.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA