KULWA NA DOTTO MWAIBALE WAZURU KABURI LA MAMA YAO


Wanahabari Kulwa na Dotto Mwaibale, (kulia), wakiweka mashada ya maua kwenye kaburi la mpendwa mama yao Twitikege Mafumu Mlagha, aliyefariki Desemba 13 mwaka huu jijini Dar es Salaam na kuzikwa Desemba 17 nyumbani kwake Kijiji cha Kibumbe Kiwira wilayani Rungwe mkoani Mbeya. Mapacha hao walizuru katika kaburi hilo jana.
Kulwa na Dotto wakiwa wamekaa juu ya kaburi la baba yao mzee Anyitike Mwakwama Mwaibale aliyefariki January 28 mwaka 2007 huku wakilitizama kaburi la mama yao. 
Dotto Mwaibale (kulia), akimuelekeza jambo Kulwa wakati wakitoka kuzuru kaburi la mama yao.
Dotto Mwaibale akijiburudisha na hindi la kuchemshwa baada ya ziara hiyo fupi ya kuzuru kaburi la mama yao. (Picha zote na Mkwinda Blog)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.