MAMA SALMA KIKWETE AHUTUBIA MIKUTANO YA KAMPENI KATIKA KATA ZA JAMHURI NA MAKONDE HUKO LINDI MJINI.

unnamedMke wa Rais na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi Mama Salma Kikwete akishangiliwa na wajumbe wa Halmashauri ya Tawi la Mayani lililoko katika Kata ya Jamhuri wilayani Lindi Mjini wakati alipowasili tawini hapo kwa ajili ya mkutano wa ndani tarehe 13.12.2014. unnamed2Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa anayewakilisha Wilaya ya Lindi Mjini Mama Salma Kikwete akizungumza na wajumbe wa Halmashauri ya Tawi la Mayani lililoko katika Kata ya Jamhuri huko Lindi Mjini wakati wa kikao cha kuzungumzia uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika tarehe 14.12.2014 unnamed3Baadhi ya mamia ya wananchi wa Lindi Mjini waliojumuika na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi wakifurahia hotuba iliyokuwa ikitolewa na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete wakati wa kilele cha kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika tarehe 14.12.2014. unnamed4  Wajumbe wa Halmashauri ya Tawi la Tulieni wakimsikiliza kwa makini Mjumbe wa NEC Taifa ya CCN, Mama Salma Kikwete wakati alipofika tawini hapo kwa ajili ya kufanya mkutano nwa ndani na wajumbe hao kuzungumzia uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika nchini n tarehe 14.12.2014. unnamed5Wajumbe wa Halmashauri ya Tawi la Tulieni wakimsikiliza kwa makini Mjumbe wa NEC Taifa ya CCN, Mama Salma Kikwete wakati alipofika tawini hapo kwa ajili ya kufanya mkutano nwa ndani na wajumbe hao kuzungumzia uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika nchini n tarehe 14.12.2014. unnamed6Mke wa Rais na Mjumbe wa NEC Taifa kutoka Lindi Mjini Mama Salma Kikwete akipokea kadi kutoka kwa mwanachama wa Chama cha Wananchi, CUF, Ndugu Rukia Seleman Ngodo aliyeamua kuachana na chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi wakati wa kilele cha kampeni ya uchaguzi wa serikali ya mitaa unatarajiwa kufanyika tarehe 14.12.2014. Kilele hicho kilifanyika katika Kata ya Makonde huko Lindi Mjini. unnamed8  Mke wa Rais na Mjumbe wa NEC Taifa ya CCM Mama Salma Kikwete akiwahutubia mamia ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi na wananchi wa Lindi Mjini wakati wa kilele cha kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa, vitongoji na vijiji unaotarajiwa kufanyika nchini kote tarehe 14.12.2014. unnamed9  Mke wa Rais na Mjumbe wa NEC Taifa ya CCM Mama Salma Kikwete akiwahutubia mamia ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi na wananchi wa Lindi Mjini wakati wa kilele cha kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa, vitongoji na vijiji unaotarajiwa kufanyika nchini kote tarehe 14.12.2014.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.