Mwanasoka wa kike Sherida Boniface aibuka mwanamichezo bora wa jumla mwaka 2014 usiku huu


1Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mh. Dr. Ali Mohammed Shein akikabidhi tuzo
 ya mwanamichezo bora wa jumla wa mwaka katika mchezo soka ambaye ni mchezaji wa kike  Sherida Boniface wakati wa utoaji wa tuzo za wanamichezo bora zinazoandaliwa na Chama cha Waandishi wa habari za Michezo TASWA , kushoto ni Mwenyekiti wa TASWA Bw. Juma Pinto , hafla ya utozji wa tuzo hizo imemalizika usiku huu kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-DAR ES SALAAM)
2 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mh. Dr. Ali Mohammed Shein  akipiga picha ya pamoja na wananchezo wa mwaka waliotunukiwa tuzo za michezo zinazotolewa na TASWA usiku huu kwenye ukumbi wa Diambond Jubilee jijini Dar es salaa

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI

KOCHA WA AL.AHLY ASEMA YANGA NI TIMU BORA NA NGUMU