MZEE AIBUKA, ADAI ROSE NDAUKA NI MWANAYE

Staa wa sinema za Bongo, Rose Donatus Ndauka.
MADAI! Mwanaume mmoja aliyejitambulisha kwa jina la Severin Daniel Ndauka amejitokeza katika Ofisi za Global Publishers na kudai kwamba, staa wa sinema za Bongo, Rose Donatus Ndauka ni mtoto wa kaka yake ambaye alichukuliwa kutoka Tanga na kupelekwa jijini Dar.
Mzee huyo aliyekuwa akizungumza kwa kujiamini mbele ya waandishi wetu, alisema mwaka 1979, shemeji yake, Nyazimbili au mama Godwin (anayedaiwa ni mama wa Rose) alijifungua mtoto wa kike katika Kijiji cha Sakura wilayani Pangani, Tanga ambapo kwa bahati mbaya mama huyo alifariki dunia hivyo mtoto kuchukuliwa na kanisa ambalo lipo Msimbazi Dar hakutaka kulitaja jina lililomlea mtoto huyo kwa kuwa familia haikuwa na uwezo.

 
Mzee Severin Daniel Ndauka anaedai kuwa Rose Ndauaka ni mwanaye.
“Baada ya hapo, hatupata taarifa tena lakini mimi niliamua kuja Dar kwa ajili ya kumtafuta Rose. Nilikwenda Msimbazi, nilipofika nikaambiwa Rose alichukuliwa na kituo cha kulea watoto kilichopo Kurasini. Ilibidi niende Kurasini, kufika nikaambiwa alichukuliwa na msamaria mwema kwa ajili ya kumlea kama mtoto wake.INAENDELEA>>>

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.