RAIS JAKAYA KIKWETE AMTEUA MWANASHERIA MKUU MPYA

Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dr. Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Profesa Justice Ibrahim Juma kuwa mwanasheria mkuu wa serikali (AG).
Uteuzi huo umefuatia baada ya aliyekuwa mwanasheria mkuu Frederick Werema kutangaza kujiuzulu kutokana na skandali ya mabilioni ya akaunti ya Escrow.
Mapema mwezi huu Rais Jakaya Kikwete pia alimteua Profesa Juma Assad (CAG) kuwa mkaguzi na mdhibiti wa hesabu za serikali baada ya Ludovick Utouh kumaliza muda 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.