RAIS KIKWETE AMWAPISHA NTIBENDA KUWA MKUU MPYA WA MKOA WA ARUSHA

 Rais Jakaya Kikwete (kushoto0 akimwapisha aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Karatu, Daud Ntibenda 'Kijiko' kuwa Mkuu mpya wa Mkoa wa Arusha katika halfa iliyofanyika Ikulu, Dar es Salaam.PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
 Ntibenda akila kiapo
 JK AKITIA SAINI KWENYE KIAPO HICHO
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda (wa pili kulia), akijadiliana jambo na Mkuu mpya wa Mkoa wa Arusha, Daud Ntibenda (kushoto) muda mfupi kabla ya kuapishwa kushika wadhifa huo Ikulu Dar es Salaam jana. Kutoka kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, (Asiyekuwa na Wizara Maalum), Profesa Mark Mwandosya.
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimsikiliza Katibu Mkuu Kiongozi, Dk. Ombeni Sefue wakati wa hafla hiyo
 Ntibenda akiwa katika picha ya pamoja na Rais Kikwete pamoja na viongozi wengine
 Rais Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Ntibenda na mke wa Ntibenda
 Rais Jakaya Kikwete (wa tatu kulia mstari wa mbele) akiwa na Mkuu mpya wa Mkoa wa Arusha, Daud Ntibenda (kulia kwake) pamoja na familia ya Ntibenda.
 Rais Jakaya Kikwete akiwa amembeba mjukuu wa Mkuu mpya wa Mkoa wa Arusha, Daud Ntibenda, Gracious Ntobo wakati wa hafla hiyo.
 Ntibenda akipongezwa
 Mkuu mpya wa Mkoa wa Arusha, Daud Ntibenda (kulia), akizungumza na waandishi wa habari baada ya kuapishwa kushika wadhifa huo
Daud Ntibenda

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.