RIDHIWANI APOKELEWA KIMILA KIJIJINI KWAKE MSOGA

 Mbunge Jimbo la Chalinze. Ridhiwani Kikwete akitafuna kuku wa kienyeji baada ya kukaribishwa rasmi kwenye Kijiji cha Msoga kufuatia kuchaguliwa kwake kuwa mbunge wa jimbo hilo miezi kadhaa iliyopita
ambapo wazee wa kijiji hicho walimuandalia hafla fupi ya kumkaribisha kijijini hapo iliyoambatana na vyakula vya aina mbalimbali vya kimila ikiwemo kuku wa kienyeji aliyeandaliwa kiustadi mkubwa kama
anavyoonekana pichani. Kulia ni Mzee maarufu kijijini hapo, Zaid Lufunga.  (PICHA NA OMARY SAID)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.