UJUMBE MWINGINE MZITO ALIOANDIKA MWAKILISHI WA TANZANIA KWENYE MISS WOULD 2014 HAPPINESS WATIMANYWA

Mshindi wa Taji la Miss Tanzania 2013 ambaye pia ameshiriki mashindano ya Miss World mwaka 2014, Happiness Watimanywa ameandika ujumbe kupitia Facebook na Twitter.
Katika ujumbe huo ameonyesha kufurahi kuwa mwakilishi wa Tanzania katika Mashindano hayo makubwa ya Dunia na pia amewashukuru Watanzania kwa kumpigia kura na kumpa support kubwa.
Happiness kaandika ujumbe huu kwenye ukurasa wake wa Facebook; “It has been a pleasure being here in #London representing #Tanzania for this year’s#MissWorld‘s #MW2014 pageant. Thank you #Tanzania for supporting me. Please keep voting for Tanzania. #Oxforddebate #charitygala #topmodel#MissWorld2014 #MW2014#lessonlearnt #wellappreciated — in London, United Kingdom.“

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI