WAZIRI CHIKAWE, HAJI WA SMZ WAONGOZA MKUTANO WA USHIRIKIANO WA WIZARA ZAO JIJINI DAR ES SALAAM LEO

unnamedWaziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe akimfafanulia jambo Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Idara Maalum za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Haji Omar Kheri (kushoto-meza kuu) pamoja na Maofisa wa Watendaji wa wizara hiyo na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi wakati wa mkutano wa ushirikiano wa wizara hizo uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, jijini Dar es Salaam leo. Picha na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.  
unnamed1Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe akimfafanulia jambo Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Idara Maalum za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Haji Omar Kheri (kushoto-meza kuu) pamoja na Maofisa wa Watendaji wa wizara hiyo na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi wakati wa mkutano wa ushirikiano wa wizara hizo uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, jijini Dar es Salaam leo. Wapili kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil, na kulia ni Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Ernest Mangu. Watatu kushoto ni Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Zanzibar, Joseph Meza. Picha na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.  
unnamed2Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Idara Maalum za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Haji Omar Kheri, akimfafanulia jambo Waziri Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kulia-meza kuu) pamoja na Watendaji Wakuu wa wizara hizo mbili wakati wa mkutano wao wa ushirikiano uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, jijini Dar es Salaam leo. Picha na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.  
unnamed5Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Idara Maalum za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Haji Omar Kheri, akimfafanulia jambo Waziri Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kulia-meza kuu) pamoja na Watendaji Wakuu wa wizara hizo mbili wakati wa mkutano wao wa ushirikiano uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, jijini Dar es Salaam leo. Picha na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*