DK SHEIN, KINANA WAWASRILI PEMBA KWENYE UZINDUZI WA SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 38 YA CCM

 Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Rais Dk. Ali Mohamed Shein akilakiwa na Katibu Mkuu wa CCM,Abdulrahman Kinana (katikati) pamoja na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama hicho, Nape Nnauye alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Pemba asubuhi leo, tayari kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa sherehe za maadhimisho ya miaka 38 ya CCM kwenye Uwanja wa Gombani ya Kale,  uliopo Wete Pemba. Kilele cha maadhimisho hayo kitaifa zitafanyika Songea , mkoani Ruvuma ambapo mgeni rasmi atakuwa Mwenyekiti wa chama hicho, Rais Jakaya Kikwete Februari Mosi, mwaka huu. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
 Kinana akimlaki Makamu Mwenyekiti wa CCM, Zanzibar, Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Pemba akitokea Unguja.
 Dk Shein akisalimiana na viongozi wa CCM waliofika kumlaki
 Dk. SDhein akisalimiana na viongozi wa Ulinzi na Usalama uwanjani hapo
 Katibu Mkuu wa CCM  akilakiwa na Naibu Katibu  Mkuu wa CCM Zanzibar, Vuai Ali Vuai alipowasili Uwanja wa Ndege wa Pemba kuanza zjiara ya Siku tano ya kuimarisha uhai wa chama na kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi. Kushoto ni Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye.
 Kinana akiangalia ngoma ya asili alipowaziri kwenye Uwanja wa Ndege wa Pemba
 Kinana akivishwa skafu na kijana wa CCM . Kulia ni Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye.
Kinana akisalimiana na viongozi wa CCM waliofika kumlaki uwanjani hapo

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.