KINANA AUNGURUMA NYUMBANI KWA MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (katikati), na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama hicho, Nape Nnauye (nyuma yake) wakikimbia pamoja na vijana alipowasili katika Jimbo la Donge, Wilaya ya Kaskazini B, Unguja Zanzibar, wakati wa ziara ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua na kuhimiza utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi.

 Kinana akiwa na Mwenyekiti wa UMoja wa Vijana wa CCM, Sadifa Juma Khamis (kulia0 wakishiriki ujenzi wa ukumbi wa mitihani katika shule ya Mahonda, Jimbo la Donge, Kaskazini Unguja.
 Wananchi wakishangilia wakati Komredi Kinana akihutubia katika Tawi la CCM Mwembe Jogoo ambalo alishiriki ujenzi waka.
 Kinana akimkabidhi fedha Mwenyekiti wa kikundi cha ujasiriamali cha Riziki Yetu, Riziki Mohamed zilizotolewa na mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Ally Seif Idd, Bibi Asha kuendeleza vikundi mbalimbali katika Jimbo la Kitope.
 Kinana akishiriki ujenzi wa jengo la Tawi la CCM la Mwembe Jogooo
 Makamu wa Pili wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Ally Seif  Idd akizungumza katika Tawi la CCM Mwembe Jogoo, ambapo alihidi kumaliza tatizo la maji katika eneo hilo.
 Mwenyekiti wa Vijana wa CCM Taifa, Sadifa Juma Khamis akihutubia katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Maskani ya CCM Kizota, Kaskazini Unguja,
 Mtoto wa mwasisi wa Mapnduzi Znzibar, Abeid Mamani Karume, Ali Karume akihutubia katika mkutano huo
 kIJANA wa Jamii ya kimasai akishangilia wakati Kinana akihuitubia mkutano huo
 Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akihutubia katika mkutano huo
 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Seif Ali Idi akihutubia katika mkutano huo
 Komredi Kinana akihutubia katika mkutano huo, ambapo aliwataka wazanzibar kuipigia kura ya ndiyo  Katiba inayopendekezwa  Aprili 30, mwaka huu

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*