KINANA AWATAKA WAZANZIBAR KUIPIGIA KURA YA NDIYO KATIBA INAYOPENDEKEZWA

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akishiriki kung'oa visiki kwenye ujenzi wa barabara unaofanywa na wananchi kwa msaada wa Taasisi ya Maendeleo ya Jamii (TASAF) katika Kijini cha Shauri Pili, wakati wa ziara ya kuimarisha uhai wa chama na kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwakufuata Ilani ya Uchaguzi, Wilaya ya Kaskazini A, Mkoa wa Kaskazini Unguja, Zanzibar.
 Kinana akihutubia katika mkutano wa hadhara katika Uwanja wa Skuli, Jimbo la Nungwi, wilaya ya Kaskazini A, Mkoa wa Kaskazini Unguja leo, ambapo aliwataka wananchi wa jimbo hilo kuipigia kura Kataiba inayopendekezwa kwani mambo mengi waliyokuwa wanayatakawananchi wa Zanzibar na Chama cha Wananchi CUF, yamo kwenye Katiba hiyo kasoro suala la Serikali tatu.PICHA ZOTE NA KAMANDA MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
Kinana akihutubia katika mkutano wa hadhara katika Uwanja wa Skuli, Jimbo la Nungwi, wilaya ya Kaskazini A, Mkoa wa Kaskazini Unguja leo, ambapo aliwataka wananchi wa jimbo hilo kuipigia kura Kataiba inayopendekezwa kwani mambomengi waliyokuwa wanayataka wananchi wa Zanzibar na Chama cha Wananchi CUF, yamo kwenye Katiba hiyo kasoro suala la Serikali tatu.Kinana alitaja baadhi ya mambo hayo kuwa ni suala la ardhi ambapo sasa ardhi ya Zanzibar itashughulikiwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakati ya Muungano itawahusisha wananchi wa Zanzibar na Tanzania Bara. Pia suala la Mafuta litakuwa siyo la Muungano. Pia Zanzibar iko huru kukopa  fedha nje ya nchi, iko huru kujiunga na jumuia mbalimbali duniani.

 Wananchi wakishangilia hotuba ya Kinana kwenye mkutano huo.Kinana akishiriki kupanda mgomba katika shamba la ushirika wa  akina mama katika Kijiji cha Kbanda Maji, Zanzibar.Vijana wakitumbuiza kwa sarakasi wakati Kinana alipokwenda kukagua ujenzi wa nyumba ya  mganga katika Hospitali ya Matemwe, Unguja, Zanzibar.


 Kinana akilakiwa na akina mama wa ushirika wa Kilimo cha migomba, mananasi na mboga katika Kijiji cha
Kibanda Maji, Wilaya ya Kaskazini A.
 Kinana akishiriki kupanda mgomba katika shamba la ushirika wa  akina mama katika Kijiji cha Kbanda Maji, Zanzibar.
 Wananchi wa Kijiji cha Masingini Jimbo la Chaani, wakiwa na furaha kubwa kumlaki Kinana.
 Wasanii wakitumbuiza kwa sarakasi wakati Kinana alipowasili kukgua ujenzi wa nyumba ya mganga katika Hospitali ya Matemwe, Jimbo la Matemwe Zanzibar
 Kinana akiwasili kushiriki ujenzi wa Uwanja wa Michezo wa Tazari,  Jimbo la Nungwi, Zanzibar
 Kinana akigawa seti za Jezi kwa mmoja wa viongozi wa timu mbalimbali zilizogawiwa jezi kwa ajili ya kuendeleza michezo
 Kinana akishiriki ujenzi wa uzio wa uwanja wa Tazari, Jimbo la Nungwi.
 Wananchi wa Tazari wakiwa na furaha baada ya Kianna kushiriki ujenzi wa uzio wa uwanja wa Tazari
 Balozi wAa CCM sINA NAMBA 3 Nungwi, Khamis Makame Faki akimkaribisha Kinana kuongea baada ya kutembelewa na uongozi huo wa juu.
 Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akihutubia katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika Skuli y mjini Nungwi

 Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Vuai Ali Vuai akihutubia kabla ya kumkaribisha Katibu Mkuu Kinana
 Katibu Mkuu wa CCM Kinana, akihutubia katika mkutano huo
Baadhi ya wanachama 284 waliojiunga na CCM wakila kiapo baada ya kukabidhiwa kno huoadi kwenye mkuta

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI