MAYWEATHER, PACQUIAO WAKUTANA USO KWA USO NA KUSALIMIANA

Pacquiao na Mayweather
Mayweather akisalimiana na Manny Pacquiao
Mabondia Floyd Mayweather na Manny Pacquiao wameudhihirishia ulimwengu kuwa uhasama uliopo kati yao ni wa ulingoni na sio sehemu nyingine, hiyo ni baada ya kukutana uso kwa uso na kusalimiana kama vile sio mahasimu wakubwa.
Mabondia hao wanaoshikilia mataji makubwa ya ndondi,  walikutana katika uwanja wa American Airlines usiku wa kuamkia leo(Jan27) wakati wa mchezo kati ya timu ya mpira ya Miami Heat na  Milwaukee Bucks katika mchezo uliomaliza kwa Bucks kushinda kwa jumla ya vikapu 109 – 102 dhidi ya Heat.
Mbali na mchezo huo, mashabiki na wapenzi wa masumbwi Duniani kote wamekuwa wakisubira kwa hamu mpambano wa wawili hao ambao wamekuwa wakitambiana kwa kipindi kirefu unaotajwa kufanyika mwezi Mei mwaka huu.  Watazame hapo chini wakisalimiana

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA