PINDA AWEKA JIWE LA MSINGI LA SHULE YA SEKONDARI YA KIBUTENI ZANZIBAR


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza wakati alipoweka jiwe la Masingi la  Shule  ya Sekondari ya Kibuteni  ya   Zanzibar ikiwa  ni moja ya ya shughuli za  Sherehe za Mapinduzi  ya Zanzibar Januari 10, 2015. Kulia kwake ni Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Ali Juma Shamhuna.  unnamed2b  
Waziri Mkuu, Mizengo  Pinda   akimsikiliza  Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali  wa Zanzibar,Ali Juma Shamhuna (wapili kulia) baada ya kuweka  jiwe la Masingi la  Shule  ya Sekondari ya Kibuteni  ya   Zanzibar ikiwa  ni moja ya ya shughuli za  Sherehe za Mapinduzi  ya Zanzibar Januari 10, 2015.  unnamed3b 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipata maelezo kutoka kwa Mhandishi Anolf Kileo  (kulia) wa Kampuni ya United Builders kuhusu michoro ya majengo ya madarasa, mabweni, ukumbi na nyumba za walimu za Shule ya Sekondari ya  Kibuteni ya Zanzibar baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa shule hiyo ikiwa ni moja ya shughuli za sherehe za  Mapinduzi ya Zanzibar  Januari 10, 2014 , Kushoto ni Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Ali Juma Shamhuna. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*